
Ile Movie mpya iliyo kuwa inasubiliwa kwa hamu na watanzania wote sasa imesha ingia kitaani na mpaka sasa copy zina zidi kwenda kama njugu katika movie hii uta kutana na nyota wa kike walio fanya kweli katika movie hii hapa na mzungumzia Regina pamoja na nyota mpya wa kike katika game hili la movies za kibongo Happyness Emanuel aliye ibuliwa na Kampuni ya Sky Link Production chini ya Mkurugenzi wa Kampuni hiyo Dr.Kelvin ambaye pia ndiye mwenye movie hiyo zaidi ingia dukani na jipatie copy yako ujionee uwezo ulio oneshwa katika movie hiyo ya kusisimua iliyo anzia moro mpaka dar baada ya binti happy kusariti ndoa ya Mr.Kelvin nini kilitokea
No comments:
Post a Comment