Monday, June 28, 2010

Dr.Kelvin na PRODICAL SON MOVIE MPYA



Dr.Kelvin ang'ara tena katika Movie mpya ya prodical son na kufanya iwe tishio kwa watazamaji ama kweli kutangulia si kufika kaeni chonjo eti wakongweee Movie hii imechezwa katika kiwango ch juu ikiwa ime jaa wakali watupu wa sanaa hii ya film katika movie hii utakutana na Mr.Magari,Dr.Kelvin,Makala,Beka na wakali wengine kibao usikose filum yako kali

Dr.Kelvin atoka na Movie mpya MISTRESS'KIMADA'



Mistress sasa ni Gumzo kitaani
Kiukweli napenda watangazia watanzania kuwa Movie yangu mpya Mistress sasa iko mtaani pia ni filumu ya kitanzania iliyo tengenezwa katika kiwango cha juu na uchezaji wa juu zaidi usikose copy yako sasa ipo dukani pia piga 0714414200 kwa mauzo ya jumla

Dr.Kelvin Nyota Mpya ya Movie Bongo na Tishio kwa wa kongwe


Kiukweli unapo zungumzia mapinduzi ya moviez Bongo basi Star mpya Dr.Kelvi huwezi acha mtaja pia ni moja ya wasanii wachache walio weza kuja kasi na kufungua kampuni ya Production pia na usambazaji SKY LINK PRODUCTION ambayo ndiyo pia ianayo sambaza kazi zake