Tuesday, June 29, 2010

MISTRESS YA Dr.Kelvin inazidi changanya wakongwe




visitor counter

--------------------------------------------



Wakati wa kongwe wasanaa ya film wanashangaa ujio wa msanii mpya Dr.kelvin movie yake ya mistress kimada inazidi sumbua sokoni jipatie copy yako sasa

Regina a.k.a Jini Aisha na Happy wa Ng'aa katika Movie mpya Ya Mistress



Ile Movie mpya iliyo kuwa inasubiliwa kwa hamu na watanzania wote sasa imesha ingia kitaani na mpaka sasa copy zina zidi kwenda kama njugu katika movie hii uta kutana na nyota wa kike walio fanya kweli katika movie hii hapa na mzungumzia Regina pamoja na nyota mpya wa kike katika game hili la movies za kibongo Happyness Emanuel aliye ibuliwa na Kampuni ya Sky Link Production chini ya Mkurugenzi wa Kampuni hiyo Dr.Kelvin ambaye pia ndiye mwenye movie hiyo zaidi ingia dukani na jipatie copy yako ujionee uwezo ulio oneshwa katika movie hiyo ya kusisimua iliyo anzia moro mpaka dar baada ya binti happy kusariti ndoa ya Mr.Kelvin nini kilitokea

Monday, June 28, 2010

Dr.Kelvin na PRODICAL SON MOVIE MPYA



Dr.Kelvin ang'ara tena katika Movie mpya ya prodical son na kufanya iwe tishio kwa watazamaji ama kweli kutangulia si kufika kaeni chonjo eti wakongweee Movie hii imechezwa katika kiwango ch juu ikiwa ime jaa wakali watupu wa sanaa hii ya film katika movie hii utakutana na Mr.Magari,Dr.Kelvin,Makala,Beka na wakali wengine kibao usikose filum yako kali

Dr.Kelvin atoka na Movie mpya MISTRESS'KIMADA'



Mistress sasa ni Gumzo kitaani
Kiukweli napenda watangazia watanzania kuwa Movie yangu mpya Mistress sasa iko mtaani pia ni filumu ya kitanzania iliyo tengenezwa katika kiwango cha juu na uchezaji wa juu zaidi usikose copy yako sasa ipo dukani pia piga 0714414200 kwa mauzo ya jumla

Dr.Kelvin Nyota Mpya ya Movie Bongo na Tishio kwa wa kongwe


Kiukweli unapo zungumzia mapinduzi ya moviez Bongo basi Star mpya Dr.Kelvi huwezi acha mtaja pia ni moja ya wasanii wachache walio weza kuja kasi na kufungua kampuni ya Production pia na usambazaji SKY LINK PRODUCTION ambayo ndiyo pia ianayo sambaza kazi zake