visitor counter
--------------------------------------------
Wakati wa kongwe wasanaa ya film wanashangaa ujio wa msanii mpya Dr.kelvin movie yake ya mistress kimada inazidi sumbua sokoni jipatie copy yako sasa
Hii ni blog ya wasanii wote wanao penda kujitangaza kisanii pia kuwapa habari mashabiki wetu ili kujua nini tunafanya na pia kupokea maoni toka kwao pia kama kuna habari yoyote inayo jenga una ruhusiwa kutuma pamoja na picha isipo kuwa kufuata maadili ya nchi yetu asanteni sana karibu na enjoy..

